Rais Kikwete afungua mkutano wa Majaji Wanawake Arusha
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro,Jaji Mkuu
Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji
Wanawake wakiimba wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa
chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha
AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete.
Baadhi ya majaji wanawake
wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake
unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano mjini Arusha
No comments:
Post a Comment