Wanaotaka serikali tatu ni wahuni" Nape
Nnauye:Hii kauli ya Katibu wa Itikadi na Uwenezi wa CCM,Nape kumtukana
Mwenyekiti wa chama chake na Raisi wa nchi. Tume inayongozwa na Jiji
Warioba,iliteuliwa na Raisi hivyo kuwaita wanaotaka serekali tatu ni
wahuni,afahamu kwamba kamtukana mkuu wake na sio mwingine. Na kama raisi alipokea maoni rasimu iliyokuwa na serekali tatu,ambazo Nape anaita ni wahuni,sasa asilimia 63% ya watz ni wahuni? JK hataki misimamo ya vyama bungeni, nyie serekali mbili mnatoa wapi? Maoni ya watanzani yanatakiwa
kuheshimiwa na kulindwa kwa gharama yoyote hata ikibidi,kumwajika kwa
damu,Lengo kuheshimu Sauti ya Umma
No comments:
Post a Comment