Thursday 6 March 2014

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge  la Katiba Mh. Pandu Kificho ameahirisha Semina ya kujadili Kanuni za Bunge Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Huyo alipohoji kuhusu Kanuni hizo.

No comments:

Post a Comment